WELCOME TO NGMP3.COM
HOME | GOSPEL NEWS |
GOSPEL MUSIC | ENCOURAGEMENTS | APOSTLE JOSHUA SELMAN SERMONS |
KENYA GOSPEL
FOREIGN GOSPEL | MOVIES |
GHANAIAN GOSPEL |
SOUTH AFRICAN GOSPEL
Rose Muhando – Siki na Sifongo
Follow Us on Telegram
Tanzanian Gospel Music Artist Rose Muhando is out with a new single “Siki na Sifongo” with video. Alinyeshwa Sifongo yenye Siki (Luka 23:36 na Mark 15:36 mmoja wao alienda mbio akajaza sifongo katika chombo akatia katika mwanzi akamnywesha Alipoipokea akakata roho….) Alibebeshwa msalaba mzito sana uliokuwa na uzito wa kilo 74.8, urefu wa mita tatu au nne, na upana wa mita mbili, HIZI ZOTE NI DHAMBI ZAKO NA ZANGU. Katika kipindi hiki cha kwaresma jitafakari sana juu ya matendo yako, Je yanampendeza Mungu…?
Listen and download this latest song below and share your thoughts below