WELCOME TO NGMP3.COM

Rebekah Dawn & Mercy Masika – Hatua Kwa Hatua

Follow Us on Telegram

Rebekah Dawn & Mercy Masika – Hatua Kwa Hatua

Rebekah Dawn & Mercy Masika – Hatua Kwa Hatua mp3 download

Gospel Music Artists Rebekah Dawn & Mercy Masika just dropped the official music video for their single titled “Hatua Kwa Hatua”.

Listen, watch and download this song below

DOWNLOAD SONG

LYRICS

Sauti nyingi zinanizingira
Mawaitha mingi, njia nyingi
Lakini najua Sauti moja tu la kufuata
Sina Mchungaji mwingine ila Yesu

Hata wengine wakiteleza njiani
Nitazidi kuwa mwaminifu Kwake
Nitaamini neno Lake
Hajawahi kunipotosha

Hatua kwa hatua, nitaendelea
Mungu mbele yangu, nitamfuata
Hakuna njia ingine najua
Hatua kwa hatua, nitaendelea

Njia zake zaaminika
Neno lake ni la kweli
Kwa hilo nitasimama
Sitainamia dunia
Sina Mwongozo mwingine ila Yesu

Sijawahi ona mwenye haki ameachwa
Waliokuchagua hawajawahi kujuta
Kwa hivyo nitazidii Nawe, hata nisipoelewa

Hatua kwa hatua, nitaendelea
Mungu mbele yangu, nitamfuata
Hakuna njia ingine najua
Hatua kwa hatua, nitaendelea

Oooh, nitakufuata
Nitakufuata Yesu, Kiongozi mwema

Mkombozi, sina mwingine
Mfalme, sina mwingine
Mwenye Enzi, sina mwingine
Msaidizi, sina mwingine
Mponyaji, sina mwingine
Mtetezi, sina mwingine
Mwokozi, sina mwingine
Mfariji, sina mwingine

Hatua kwa hatua, nitaendelea
Mungu mbele yangu, nitamfuata
Hakuna njia ingine najua
Hatua kwa hatua, nitaendelea

Hatua Kwa Hatua - Rebekah Dawn & Mercy Masika (OFFICIAL VIDEO) For SKIZA Dial *811*137#

See also  Paul Clement ft Zoravo - Kelele Za Ushindi
Love this post? Drop a comment here

Follow Us on Telegram

Share post on:


Leave a Reply

Your email address will not be published.