Naomi Mugiraneza – Jesu Jina Nzuri mp3 download
Gospel Music Artist Naomi Mugiraneza is out with a new single titled “Jesu Jina Nzuri”
DOWNLOAD SONG
| Verse |
Yesu Jina la uwezo
Jina lipitalo majina yote
Limeinuliwa juu sana
Lina nguvu za kuokoa
Ishara miujiza ufanywa
kupitia Jina Hilo
(REPEAT)
| Chorus |
Yesu Jina nzuri nani kama wewe?
Hakuna wakulingana na wewe.
Matendo yako makuu tume yaona,
Unaweza unaweza yote.
(REPEAT)
| Bridge |
Yasiyo wezekana unayafanya
Unaweza yote
(REPEAT)