WELCOME TO NGMP3.COM

John Lisu – Hakuna Gumu Kwako

Follow Us on Telegram

Hakuna Gumu Kwako By John Lisu

Hakuna Gumu Kwako By Gospel Music Artist John Lisu.

Listen and download this latest song below and share your thoughts

DOWNLOAD SONG

Hakuna Gumu Kwako Lyrics – John Lisu

Wewe ndiwe Mungu wastahili utukufu
Umefanya mengi ya ajabu
Wewe ni mfalme

Hakuna gumu kwako Yesu
Hakuna gumu kwako
Hakuna gumu kwako Yesu
Hakuna gumu kwako

Ulitembea juu ya maji YESU
Hakuna gumu kwako
Wafanya njia pasipo na njia
Hakuna gumu kwako

Na wagonjwa wanapona YESU
Hakuna gumu kwako
Hakuna gumu kwako Yesu
Hakuna gumu kwako

Hakuna gumu kwako Yesu
Hakuna gumu kwako
Hakuna gumu kwako Yesu
Hakuna gumu kwako

Kuta za gereza zatingizika
Minyaroro yakatika
Wafungwa wafunguliwa Yesu
Hakuna gumu kwako

Hakuna gumu kwako Yesu
Hakuna gumu kwako
Hakuna gumu kwako Yesu
Hakuna gumu kwako

Mashtaka yetu yamefutwa
Vita vyetu ni juu ya Bwana
Falme zitainuka, falme zitaanguka
Bali ufalme wako wadumu

Hakuna gumu kwako Yesu
Hakuna gumu kwako
Hakuna gumu kwako Yesu
Hakuna gumu kwako

Milima yayeyuka kama nta mbele zako
Wanguruma kama radi wewe Mungu mwenye nguvu
Uliumba pasipo wewe kuumbwa
Wewe ni mfalme

See also  David Dam - I'M YOURS
Love this post? Drop a comment here

Follow Us on Telegram

Share post on:


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *