Bony Mwaitege – Hallelujah
Bony Mwaitege – Hallelujah mp3 download
Tanzanian Gospel Music Artist Bony Mwaitege has released a song titled “Hallelujah”.
Listen and download this latest song below and share your thoughts.
Hallelujah watu wa Mungu, Kwama ya kwanza kabisa mwaka huu wa 2021 nimeleta kwenu wimbo huu wa kumsifu Bwana wa majeshi,ninaimani wimbo huu utafanyika baraka kwako na kwa wengi utakao wafikia.nakutakia baraka zote kwa kuendelea kuwa pamoja nami.